Aliyejiuzulu Udiwani CHADEMA kuunga mkono juhudi "Abwagwa" kura za maoni na wana CCM

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu na kujiunga CCM, Michael Kunani amebwagwa katika kura za maoni ndani ya CCM Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa kuzidiwa na Moses Nguhecha.

Michael Kunani na aliyekuwa Diwani wa Kata ya Manchira, Joseph Mongita walijiondoa CHADEMA na kuhamia CCM na kuacha nafasi zao wazi, hata hivyo Mongita hakujitokeza kuchukua fomu.

Katika kura za maoni Kata ya Ikoma CCM aliyeongoza ni Moses Nguhecha, Michael Kunani, Mgosi Gaugeri huku wanachama watatu waliokuwa wanadaiwa kuwa na nguvu kisiasa wakiondoa majina yao.

Hata hivyo, majina hayo yanasubiri baraka za Kamati ya siasa Wilaya na Halmashauri Kuu ya Chama ngazi ya Mkoa ili kupitisha jina la Mgombea atakayepambana na vyama vingine.

Katika Kata ya Manchira, Daudi Manteni alipata kura 46 na kufuatiwa na Shamina Muyuga kura 32.

Katibu wa CCM Wilaya ya Serengeti, Solomoni Kasaba amesema vikao vya chini vimekamilisha michakato yake na vikao vinavyofuata vitatoa majina ya wagombea kwenye kata zote mbili.

Kwa upande wa CHADEMA, Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti, Julius Anthony amesema wagombea watatu wamejitokeza kuchukua fomu ambao ni Eliya Wilson, Richard Nyambacha na Timani Makuru.

“Tunaendelea na mchakato wa kupata wagombea katika kata hii pamoja na Ikoma ambao utakamilika ifikapo Julai 14," amesema Anthony.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, CHADEMA ilishinda kiti cha ubunge na kata 18 na CCM walishinda kata 12.
 
Tofauti ni kwamba ingekuwa chadema Mbowe angelazimisha apitishwe, lkn CCM full demokrasia ndo maana hata umejua!
 
Wakati mwingine sijui akili zenu huwamnazipeleka wapi, umesahau yale ya kinondoni na yakinamoleli?au pengine unataka kusema kuwa Mbowe ndiye aliyelazimisha wagombee ubunge kupitia CCM?.
 
aliyehama+pic.jpg

Katibu wa CCM wilaya ya Serengeti, Solomoni Kasaba

Kwa ufupi
Mgombea huyo ameshindwa kura za maoni kwa kuzidiwa kwa kura moja

Serengeti. Diwani wa Chadema aliyejiuzulu na kujiunga CCM Michael Kunani amebwagwa katika kura za maoni ndani ya CCM, kata ya Ikoma wilaya ya Serengeti, Mara kwa kuzidiwa kura moja tu na Moses Nguhecha.

Kunani na diwani wa kata ya Manchira, Joseph Mongita walijiengua Chadema na kuhamia CCM na kuacha nafasi zao wazi, hata hivyo Mongita hakujitokeza kuchukua fomu.

Katika kura za maoni kata ya Ikoma CCM aliyeongoza ni Moses Nguhecha (18) Michael Kunani (17), Mgosi Gaugeri (1) huku wanachama watatu waliokuwa wanadaiwa kuwa na nguvu kisiasa wakiondoa majina yao.

Hata hivyo majina hayo yanasubiri baraka za kamati ya siasa wilaya na halmashauri kuu ya chama ngazi ya mkoa ili kupitisha jina la mgombea atakayepambana na vyama vingine.

Katika kata ya Manchira, Daudi Manteni alipata kura 46 na kufuatiwa na Shamina Muyuga kura 32.

Katibu wa CCM wilaya ya Serengeti, Solomoni Kasaba amesema vikao vya chini vimekamilisha michakato yake na vikao vinavyofuata vitatoa majina ya wagombea kwenye kata zote mbili.

Kwa upande wa Chadema, Katibu wa chama hicho wilaya ya Serengeti, Julius Anthony amesema wagombea watatu wamejitokeza kuchukua fomu ambao ni Eliya Wilson, Richard Nyambacha na Timani Makuru.

“Tunaendelea na mchakato wa kupata wagombea katika kata hii pamoja na Ikoma ambao utakamilika ifikapo Julai 14," amesema Anthony.

Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chadema ilishinda kiti cha ubunge na kata 18 na CCM walishinda kata 12.
 
Haya mapichapicha safi sana. Mpaka 2020 titakuwa tumejifinza aina mpya ya sihasa. Na kwa namna hii tutakuwa na aina mpya ya kufikiri na kutenda katika maisha ya sihasa
 
Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu na kujiunga CCM, Michael Kunani amebwagwa katika kura za maoni ndani ya CCM Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa kuzidiwa na Moses Nguhecha.

Michael Kunani na aliyekuwa Diwani wa Kata ya Manchira, Joseph Mongita walijiondoa CHADEMA na kuhamia CCM na kuacha nafasi zao wazi, hata hivyo Mongita hakujitokeza kuchukua fomu.

Katika kura za maoni Kata ya Ikoma CCM aliyeongoza ni Moses Nguhecha, Michael Kunani, Mgosi Gaugeri huku wanachama watatu waliokuwa wanadaiwa kuwa na nguvu kisiasa wakiondoa majina yao.

Hata hivyo, majina hayo yanasubiri baraka za Kamati ya siasa Wilaya na Halmashauri Kuu ya Chama ngazi ya Mkoa ili kupitisha jina la Mgombea atakayepambana na vyama vingine.

Katika Kata ya Manchira, Daudi Manteni alipata kura 46 na kufuatiwa na Shamina Muyuga kura 32.

Katibu wa CCM Wilaya ya Serengeti, Solomoni Kasaba amesema vikao vya chini vimekamilisha michakato yake na vikao vinavyofuata vitatoa majina ya wagombea kwenye kata zote mbili.

Kwa upande wa CHADEMA, Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti, Julius Anthony amesema wagombea watatu wamejitokeza kuchukua fomu ambao ni Eliya Wilson, Richard Nyambacha na Timani Makuru.

“Tunaendelea na mchakato wa kupata wagombea katika kata hii pamoja na Ikoma ambao utakamilika ifikapo Julai 14," amesema Anthony.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, CHADEMA ilishinda kiti cha ubunge na kata 18 na CCM walishinda kata 12.

"Good, gooder, goodest":D:p:eek::rolleyes:o_O
 
Back
Top Bottom