MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
Wakuu, kuna mtu ameitwa kwenye usaili wa hawa jamaa kwenye nafasi ya bank teller kanda ya Dar zilizotangazwa mwezi uliopita.
Wakuu, kuna mtu ameitwa kwenye usaili wa hawa jamaa kwenye nafasi ya bank teller kanda ya Dar zilizotangazwa mwezi uliopita.
Labda kama mjomba yako ni branch manager.
uchakachuzi kila sehem nowdayz hata kama s branch manager bas iwe kuna mtu unamfaham hapo mwenye cheo cheo angalau utaitwa tu
ni kweli wameita?mashoo
ni kweli wameita?mashoo
Ume apply za TPB?
Mdogo wangu wa damu ameitwa last week mkuu.
VIJANA MLIOSOMA KWA KUUNGA UNGA MNAOGOPA USHINDANI USIPIME. MPONA WENGINE TUNAAPLY NA KUFANYA INTERVIEWS MBALIMBALI JUST FOR FUN? JIAMINI KWAMBA UNAWEZA HUSIWAZE KUBEBWA BEBwa
VIJANA MLIOSOMA KWA KUUNGA UNGA MNAOGOPA USHINDANI USIPIME. MPONA WENGINE TUNAAPLY NA KUFANYA INTERVIEWS MBALIMBALI JUST FOR FUN? JIAMINI KWAMBA
UNAWEZA HUSIWAZE KUBEBWA BEBwa
Wakuu, kuna mtu ameitwa kwenye usaili wa hawa jamaa kwenye nafasi ya bank teller kanda ya Dar zilizotangazwa mwezi uliopita.