Duh kweli ualimu ni kazi ya hovyo Yani trh 11 ushaanza kuuliza payroll inamaana salary ishakata khaaa kazi Gani hiyo Sasa unazidiwa Hadi na fundi ujenziWalimu msione aibu . Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyoo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.
Njaa inamsumbuwa kazi nyingine ni kazi za hovyo kabisaMbona mwezi haujufika nusu (15 days)!!! Au unakumbusha kijanjajanja?
Subiri nimtag Mpwayungu VillageWalimu msione aibu . Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyoo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah kukumbusha tareh 11 aisee hiz njaaa balaaaMbona mwezi haujufika nusu (15 days)!!! Au unakumbusha kijanjajanja?
Aahaaaaa12,000 unakopa au una Top Up
Walimu msione aibu . Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyoo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.
Hahahaaa!Mkuu mwarabu kamwaga pesa mingii..
Bandari haijaenda kizembe.
Kuna ongezeko kubwaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nini"Devide and rule"!!!
Muda ukifika utaijua tu. VumiliaNdio nini
Nafahamu hii divide and ruleMuda ukifika utaijua tu. Vumilia
Hawa kwani watu?? Mimi nilishagawapuuzaDuh kweli ualimu ni kazi ya hovyo Yani trh 11 ushaanza kuuliza payroll inamaana salary ishakata khaaa kazi Gani hiyo Sasa unazidiwa Hadi na fundi ujenzi
Ni kweli Mpwayungu Village anazingua kwa post zisizo na kichwa wala miguuWalimu msione aibu. Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.
Mheshimiwa Waziri