blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,414
- 16,787
Walimu msione aibu. Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.