MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,220
- 3,917
Mwehu!Haki jinai: Polisi hawaruhusiwi kumlazimisha mtuhumiwa kusema chochote , kama alifikia hatua hiyo ya kupoteza ushahidi inawezekana vipi akakubali kusema kwa hiyari yake?
Kama alilazimishwa kusema je sheria haijavunjwa? Au kwenye hilo tumeruhusu sheria ivunjwe?