kahawa ya njano Member Joined May 28, 2020 Posts 99 Reaction score 124 Jul 2, 2020 #1 Habari, Najua kuna vyuo vichache vinavyofundisha kozi hii achilia mbali institutes za kidini (seminaries) Sasa hawa watu wanapokuja mtaani wanaomba/fanya kazi gani maofisini? (Government & NGO) Naomba kufahamishwa.
Habari, Najua kuna vyuo vichache vinavyofundisha kozi hii achilia mbali institutes za kidini (seminaries) Sasa hawa watu wanapokuja mtaani wanaomba/fanya kazi gani maofisini? (Government & NGO) Naomba kufahamishwa.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,048 Reaction score 77,410 Jul 2, 2020 #2 Tulia Wewe Wanakuja Wataalam Kukujuza Kuhusu Hao Watu Watafanyia Kazi Wapi
kahawa ya njano Member Joined May 28, 2020 Posts 99 Reaction score 124 Jul 2, 2020 Thread starter #3 Kennedy said: Tulia Wewe Wanakuja Wataalam Kukujuza Kuhusu Hao Watu Watafanyia Kazi Wapi Click to expand... Nimetulia mkuu
Kennedy said: Tulia Wewe Wanakuja Wataalam Kukujuza Kuhusu Hao Watu Watafanyia Kazi Wapi Click to expand... Nimetulia mkuu
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,204 Reaction score 13,252 Jul 2, 2020 #5 "Any philosophy is worthless unless there is an attempt to analyse real one's life under a microscope." Jesus is Lord.
"Any philosophy is worthless unless there is an attempt to analyse real one's life under a microscope." Jesus is Lord.
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,784 Reaction score 5,434 Jul 2, 2020 #6 Nafikri ndio wanakuja kutunga misemo ya kihenga mkuu wangu japo sina uhakika sana.
Denis Alphonce JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 677 Reaction score 931 Jul 3, 2020 #7 Philosophy is multidisciplinary waalimu kakt taluma yao Wana falsafa zao ,wanasayansi,wanasheria,madaktari so Kila mtu ananamna anavoitumia
Philosophy is multidisciplinary waalimu kakt taluma yao Wana falsafa zao ,wanasayansi,wanasheria,madaktari so Kila mtu ananamna anavoitumia