Dah! Ukitafakati theorists as Hesabu, chemistry na Physics inanifanya niamini kuwa Mungu alitanguliza kina Faradays na Newton na wengine watengeneze mazingira ili kizazi cha Instagram kije kuishi. Imagine kizazi hiki ndo kingewatangulia akina Einsten