Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Alishindwa katika kura za maoni. Mtakumbuka kwa kipindi kirefu jimbo hili limeongozwa na Shabiby. Mgombea huyu analalamikia rushwa katika utaratibu wa kumpitisha Shabiby.
Mbona sikuelewi?
Malizia Kwanza Maandamano Alafu Ndio Uje Utujuze Kamanda