emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Kuna Jamaa alipanda pikipiki ubungo alidondosha Wallet pale ubungo sasa kilichotokea deleva wa daladala aliokota,ninayo tiketi ya hiyo daladala, kwa hiyo namba ya gari IPO don't worry kama inavitu vya maana kama ATM card etc ani pm tu tuanze mchakato wa kuwabamba.