Kuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we GoogleNaomba ufafanuzi wa kilicho tokea hasa mpka sasa sijaelewa
Mualiko ulisababishaje sasa tuendelee kidogoKuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we Google View attachment 3682730
Baby love ambaye ndio aliyeenda kumtembelea huyo rafiki yake bila kujua Kwenye ile nyumba kuna Majambazi ambao wanatafutwa kilichomponza ni kuchukua videoMualiko ulisababishaje sasa tuendelee kidogo
Nyie wanawake šHuu moyo wa kumkata mtu kama nyama watu wanatoa wapi? Dah
Siku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzakeNyie wanawake š
Mambo ya watu kutaka maisha mazuri kwa njia haramMarehemu hasemwi ila huyo dada ni tamaa zimempoza kwanza huyo dada muuwaji sura tu inaonyesha kutoa roho ya mtu sio shida kwake.
Wote ukiwa angalia wana shida ya malezi.Mambo ya watu kutaka maisha mazuri kwa njia haram
YaaniWote ukiwa angalia wana shida ya malezi.
Kabisaašš½Siku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
Video pleaseNimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatiliš„µš„µ.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiƬš³
Zipo hapo juu zinatisha sanaVideo please
Kiss of deathHili tukio ni moja ya tulioliona tu kuna mengine mengi hatujayaona huwenda
Nakushauri usiziangalieVideo please
Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatiliš„µš„µ.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiƬš³
Nmeangalia hakuna kipya hapoNakushauri usiziangalie
Umebahatika?
Matumizi mabaya ya bahati!!!
Kilichofanyika hapa ni unyama/ukatili.Mods naomba msinipige ban.
Ni Kwa ajili ya wengi