sura mbaya
Member
- Mar 5, 2013
- 86
- 14
Ni wengi wanazalishwa na kupotezewa. Bila msaada wowoteIf you can't make Her a WIFE
Don't make her A MOTHER!!!!
unataka azae na mbuzi? ila kumbuka mbuzi ana sura nzuriNenda mahakama ya Mbuzi umchague mmoja
Ndio maana natafta mrembo ili tuanzishe kizazi chenye sura nzuuriId yako tu sura mbaya...
ungekuwa handsome ningekufikiria ila sura mbaya mwanangu akikurithi je?
Co hvo. Ktk jamii yetu kuna watu wangapi wamezalishwa na kuachwa bila matunzo wala malezi? Ndoa ni ngumu kuliko udhaniavo ndugukwani umeambiwa wao ni Mbwa wanazalishwa na kuachwa acha zako wewe
Kama ana hela huwa hawaangalii Suraunataka azae na mbuzi? ila kumbuka mbuzi ana sura nzuri
So atupie picha sio!!!!!!ungekuwa handsome ningekufikiria ila sura mbaya mwanangu akikurithi je?
Sura mbaya ni Neno tuu. Acha uogaId yako tu sura mbaya...