Hiyo safi sanaKwenye kabila letu tunaitumia hiyo utalipaje mahari kubwa wakati hujabikiri wewe?
Ila kweli. Basi mumshie bei huyu anaechukua jumla.Kama alikufa kwenye mafuriko huko, bill apewe nani?
kabila gani mkuu?Kwenye kabila letu tunaitumia hiyo utalipaje mahari kubwa wakati hujabikiri wewe?
Umegharamika kiasi gani?Mimi nilishabikiri wanne ambao nina uhakika. Aisee usituingize kwenye madeni yasiyo na kichwa wala miguu.
Unaweza kuwa uliuziwa mbuzi kwenye gunia nduguMimi nilishabikiri wanne ambao nina uhakika. Aisee usituingize kwenye madeni yasiyo na kichwa wala miguu.

Vipi unakumbuka ilivyokuwa?hahaaa!jf kuna mada zingine!
Sijawahi kubikiri aisee,hebu nipeni maujuzi ya kumjua msichana mwenyenayo!..
Hawa watu wazima Ni nadra kwao kuzikuta?Miaka 30 jera.. piga hesababu shughuli za jera kwa kila siku, mpaka aina ya ulalaji ndio maujuzi ya bikra kwa sasa.