Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

Wanawake wengi huharibiwa na familia zao pale anapokua ndoani au anataka ingia
Wengi wao wanamtumia tu
Pia hao wanawake wanaharibika pale kila anayekutana nae kusema UMEPENDEZA,WE MZURI,NAKUPENDA,yaan akikutana na watu wanaosema hiyo wao ujiona kuwa kumbe hata fulani nikimuacha/akiniacha kumbe naweza pendwa na wengine,kamwe hawana binocular ya kuona mbali.

*Ni watu wanaopenda kudanganywa* bila ya kudanganywa hawaoni raha,sujui kwanini,ndio maana nyoka aliwadanganya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka ushauri gani wakati tukikushauri unakataa JF hatujaribiwi bwana mdogo ujue nitakupiga ban five years and a half
 
Mpaka leo hii hakuna mtu nliyewahi kumpa namba ya siri ya ATM, m pesa, tigo pesa, airtel money labda laini za kazi ambazo wafanyakazi wanazo not otherwise. Ntaleta pesa mezani tupangie namba yangu ya siri ni kama Trump na Kim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ww ulikua boya manz anakutunzia line yako ya tigo pesa,,ana access na card zako za benki,,anaenda kuchota pesa yyte anayojisikia kwenye biashara dooh
kila nikihisi wanaume wa dizain yako wanaisha kumbe ndo mnaongezeka
sasa mngeoana ingekuaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh bahati zote hizo alikuwa anapata? Ndio Maana akajiona keki eti, sa hv anawaza Nani atamhudumia vyote hvyo, usipomrudia atakuwa amepoteza bonge LA bahati ambapo sidhan kama ataipata Tena 'na serikali hii ya magu. She had everything 'na bado 'na ndoa hyo alikuwa anaipata duuh mbona degree hata kwenye ndoa angeipata tu. Feeling sorry for her asipoipata hii chance Tena ni ngumu kujirudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom