Alivyokuwa ameumbika Hamida

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wakati nikiwa nimelala pale kitandani nilisikia mlango ukigongwa na sauti iliskika ikiwa inaita kwa chini "huku akiniita jina langu....nifungulie mimi Hamida" nilitoka pale kitandani mbio kuelekea mlangoni nikafungua.

Nikamwambia Hamida unakuja saa hizi (23:45) huoni kwamba unanisababishia matatizo? Je! Baba akiamka unafikiri tutakua kwenye hali gani?

Alichofanya alinisukumia ndani akaniambia njoo tuongelee ndani bhana hapa mtu anaweza kuja ikawa nongwa.

Nikawa bado nashangaa kilichokua kinaendelea mara Hamida akadondosha mtandio aliokua amevaa kwa jinsi alivyokua kaumbika mwenyewe.......
 
Hamida akadondosha mtandio aliokua amevaa kwa jinsi alivyokua kaumbika mwenyewe.......
...........Nikazimia, nikaja kuzinduka asubuhi. nikajicheki wala hakunigusa. Hamida nakukumbuka bibie!!!
 
Tyta,
Hahahahahahahahahahaahahahahahahahah hayu tayta anaongea kwa vitendo zaidi
 
Mkuu kuna kalenda ya Nicki Minaj imetoka hebu kamalizie ndoto yako.............. miss chagga
 
Last edited by a moderator:

.... kiuno chake mithili ya dondola kiliugawanya vizuri mwili wake na kuleta uwiano mwanana uvutiao kuutazama, ngozi yake maridhawa iling'aa kama jua la alasiri, mtoto shatashata si mnene si mwembamba ila nyonga yake ilitanuka kiuhakika. Hamida alinitazama usoni kwa jicho la kichovu halafu akatoa tabasamu laini kisha kwa mwendo wa kinyonga akaelekea kitandani huku akiniachia ugonjwa wa moyo kwa jinsi alivyomwemwesa kikike.
 
Unaona sasa unavyogalagala kwa sababu ya Hamida????????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…