Alituahidi baada ya siku 3 MO atapatikana….

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…
Vipi mbona kimya mkuu harudi kutupa mrejesho na kututia moyo sisi tunaesubiria ahadi ya unabii!?
 
Tunamsubiri kwa hamu sana alete mrejesho
 
Watekaj waliomteka mo ni mijambazi sugu usifananishe na wale vibaka walio mkaba roma

Alijua itakua rahisi kama mwanzo
 
Kapigwa BAN ya mdomo na JIWE akipayuka tu madia kutafuta kiki, kesho Koromije...
Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…
Vipi mbona kimya mkuu harudi kutupa mrejesho na kututia moyo sisi tunaesubiria ahadi ya unabii!?
 
Wa congoman wana usemi wao kuwa NGUVU YA .MAMBA KUMAHI hivyo za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom