Alipukiwa na simu na kufariki

Alipukiwa na simu na kufariki

neikia

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
25
Reaction score
5
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=146654&stc=1&d=1395597520
 
Attachments

  • IMG-20140323-WA0004.jpg
    IMG-20140323-WA0004.jpg
    66.8 KB · Views: 3,193
May be its something else, disgused na hiyo simu.
 
si jambo zuri kuongea na simu ikiwa kwenye charge au ikiwa battery low.. mionzi huwa mikali sana
 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=146654&stc=1&d=1395597520

Tutajuaje kama sio wale vijana walipuaji mabomu huko Zanzibar wamelipukiwa na bomu lao wenyewe na kusingizia walikuwa wanacharge simu? Hayo majeraha hayaonyeshi kama yamesababishwa na mlipuko wa simu, bali kitu kama bomu.
 
Ivi unaakili kweli?
 
Ivi unaakili kweli?

Sana, tena nina uzoefu wa kijeshi na kutambua aina za milipuko na majeraha inayosababisha.

Sasa na wewe niambie kama una akili angalau ya kujua jeraha kama hilo katika picha limesababishwa na mlipuko wa aina gani.

Na kama kisio tu la kiwango chako cha elimu, huwa hatusemi "ivi", tunasema "hivi". Nitakusamehe kwa kuunganisha maneno "unaakili" kuwa ni suala la typo error.
 
Back
Top Bottom