Usiseme Hakuna mwanaume wa ivo but sema wewe huwezi broo..!!Usiweke wengi hii dunia ni pana sana..!!nina mwanangu Nimecheza nae tangu utotoni na now tunafanya kazi sehemu moja,Kaoa mke ila ndoa yake ina miaka 7 MPK sasa na hajawahi kucheat Yani mimi nikitongoza Adeli au nikiwa na demu jamaa anakasirika na kuniweka chini na kunisema MPK namkwepa,Anakataa pisi ambazo mimi ndio ndoto yangu..!!Kuna watu sio dhaifu kwa wanawake broo Wana focus na familia zao..