Alinitukana baada ya kuhisi nimemdharau

Nimependa ulipoanza Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy
 
Kadri unavyozidi kumpuuza ndivyo anavyozidi kukuganda.

Kuna kadem ka buku mbili nilikatongoza juzikati.
Sasa kakawa mda mwingi hakapatikani, nikakatext "vipi mbona sikuelewi".
Khee si kakasema kama hunielewi basi tuachane 😂😂, nilicheka sana.
Nikamtumia poa.
Akaanza kutuma sms kibao mimi ni sawa, poa, mara futa namba yangu. Nakaa lisaa ndo najibu sawa.

Mwisho skaanza kujirudi mwenyewe tena.
 
Na utoto ulichangia
Mtafute muombe msamaha kama utaweza, kuna mambo unaweza ukawa umefungwa kumbe kuna wakati ulichezea hisia za mtu na ananung'unika kwa kuumiza hisia zake, kuna vifungo vingine sio lazima urogwe bali kuna mtu ananing'unika tu juu yako kwa yale uliyomtenda kihisia.
 
Kabla ya kupotezana tulikuwa tushakuwa poa lakin hatukurudiana kama wapenzi tena
 
Kabla ya kupotezana tulikuwa tushakuwa poa lakin hatukurudiana kama wapenzi tena
 
😂😂😂😂😂 Nimecheka kwa sauti
 
HAKUNA MWANAUME RIJALI WA KWELI ANAEWEZA KUKATAA SHOW YA BURE HASA KUTOKA KWA DEMU MKALI KAMA ULIVYOHADITHIA.

SISI HUWA TUNAPENDA NA KICHWA CHA CHINI HATA KAMA KICHWA CHA JUU KINACHUKIA.

HAPA KUNA MAWILI, AIDHA WEWE NI GASHO HIVYO KUHALALISHA KUMITHILISHWA KINYWA CHAKO NA UCHI KIPARA AMA HII STORY NI YA KUSADIKIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…