Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Wewe unachosema nikweli,wanawake wengi kumpa tigo wachumba zao au wake zao,hawawezi,na hii ni sababu kubwa inayofanya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa,heshima kupita kiasi.
Yes....ndani nalinda heshima, ila nje sawa tu.
Ila hata kama mume wangu akitaka namuonjesha tu.
Ili nae apate raha ya nje
 
Mmh ndefu sana nitasoma siku nikiwa vzr kiongozi ila kichwa cha habari kama hujampiga tu vzr
 
Yes....ndani nalinda heshima, ila nje sawa tu.
Ila hata kama mume wangu akitaka namuonjesha tu.
Ili nae apate raha ya nje

Ukiandikaga comment huwa na cheka sana alafu kwa kujiamini kabisaaa
 
Wale waliokariri mwanamke ukimpa kila kitu hakUsaliti wakuje hapa uzi wako ni mapenzi darasa.hawa viumbe viumbe hawana formula lolote linaweza kuwaganya watoe chipupa

Si kweli mkuu mwanamke hataki umempe kila kitu badof atadanganya tu
 
Nilichogundua ni kamba usimuamini mwanamke moja kwa moja
 
Una maanisha mwanamke hapaswi kupigwa??
Mwanamke hapigwi ndio, ukiona unafikia hatua ya kuinua mkono wako na kumpiga mwanamke anapokosea je ukikosea wewe na yeye akupige au ila kwa kuwa wenzetu wanawake wachache ndio wananguvu
 
Japo ni uzi wa kitambo ila sometimes inabidi wapenz mjitambue.

Hakuna mtu aliezaliwa kwa ajili yako, yani unampa adhabu kisa kachepuka kwani ni lazma awe na ww tu duniani si umuache.

Visasi vipo ila hivyo vya hadi kutweza utu wa mtu, na mbaya zaidi wala sio mkeo ni ujinga kabisa.
Apo jamaa labda tu angechukua kila kilicho chake, ndoa iahirishwe kwa pande zote 2 kujulishwa na sababu baasi.
 

Usitupangie wajuba nini cha kufanya

Kama vile alivyoamua kusaliti bila kuamrishwa na sisi pia tunaamua hivyo hivyo!

Ukiniletea upanga vitani usinilazimishe nije na panga pia, nikija na AR15 usianze lalamika kuwa eti ni ushamba!
 
Niliishia hapa:

"Tulipokua znz mwanzo wa vacation nikamshawishi sana nianze 'kuruka ukuta'(samahani kama ntamkwaza MTU hapa) anakua mgumu ila baada ya ushawishi na influence ya pombe anakubali. Yani nlikua simjali hata kidogo,akawa Analia kila siku kua namuumiza lakini nikawa nampoza kinafiki,mwezi mzima nikamfanyia uchafu bila huruma"...

Mwanayme wa kweli hawezi fanya huu uchafu, najuta kusoma hili andiko. You do not deserve my attention.
 
Usitupangie wajuba nini cha kufanya

Kama vile alivyoamua kusaliti bila kuamrishwa na sisi pia tunaamua hivyo hivyo!

Ukiniletea upanga vitani usinilazimishe nije na panga pia, nikija na AR15 usianze lalamika kuwa eti ni ushamba!
Ni ushamba ww nani kakwambia kuchepuka ni vita.

Humridhishi ndo mana kakukimbia, sasa hasira unmpelekea nani wakati mapungufu ni yako.
 
Kwahiyo umemuadhibu na ukampakia kwenye Bajaji ukampeleka HSPTL au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…