Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Mkuu pole mi nimesalitiwa na mke wa ndoa na nina watoto wa4 nae nimekaa nae 12 years nimesomesha mpaka masters we Acha so nilichofanya nimempotezea nangalia maisha ya watoto basi ctaki kuoa napiga mizigo njee biashara inaisha..
 
Ni rahisi na je ikiwa hivyo mtu hawezi kurudia hapo baadae??
Kusamehe inaweza kuwa rahisi au isiwe rahisi lakini mwisho wa siku LAZIMA usamehe & kusahau it's a process of which with time unasahau

Kurudi itategemea mtu na mtu na sababu iliyosababisha wao kuumizana b4
 
Du! Pole sana ila hiyo ya tigo mh! So upo single! Jaribu kuwasiliana na nae nia kumchunguza yupo je kwa sasa.labda yaweza kua ndio mkeo ulipangiwa na mungu ibilisi akawavuruga.
 
Pole lakini hata kama umeacha pombe kuruka ukuta ulichomfanyia huyo dada dhambi kubwa
 
Kusamehe inaweza kuwa rahisi au isiwe rahisi lakini mwisho wa siku LAZIMA usamehe & kusahau it's a process of which with time unasahau

Kurudi itategemea mtu na mtu na sababu iliyosababisha wao kuumizana b4


Sawa sawa ni majibu mazuri sanaaa lin hongera kwa busara na kwa kuweza kujibu vizuri.maana haya mapenzi siku hizi kila.mtu mjanjaaa
 
Mkuu pole mi nimesalitiwa na mke wa ndoa na nina watoto wa4 nae nimekaa nae 12 years nimesomesha mpaka masters we Acha so nilichofanya nimempotezea nangalia maisha ya watoto basi ctaki kuoa napiga mizigo njee biashara inaisha..

Umempotezea as mmeachana au unaishi nae mkuu unajuwa wanawake hawatabiriki hata kidogo alafu wana roho nyepesi snaa tena sanaaa kukubali chochote kile
 
o
Mume wa ndoa, mume mtarajiwa siwezi kuwaomba waniingilie nyuma, ila mchepuko, nampa tu.
Kwani kuna ajabu atlas copco?
Wewe unachosema ni
Mume wa ndoa, mume mtarajiwa siwezi kuwaomba waniingilie nyuma, ila mchepuko, nampa tu.
Kwani kuna ajabu atlas copco?
Wewe unachosema nikweli,wanawake wengi kumpa tigo mchumba wake haw
Mume wa ndoa, mume mtarajiwa siwezi kuwaomba waniingilie nyuma, ila mchepuko, nampa tu.
Kwani kuna ajabu atlas copco?
Wewe unachosema nikweli,wanawake wengi kumpa tigo wachumba zao au wake zao,hawawezi,na hii ni sababu kubwa inayofanya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa,heshima kupita kiasi.
 
pole mkuu ila ucje amin dem wa aina yeyote katika maisha hii ya sasa weng wao ni washenz na hawapendeki ni bora kuish nao kiushenz shenz tu
 
Kuna binti alijifanya jeur ana kibur toshaaaa...
Baada ya makwaluzano kutokea akajifanya kutosamehe...ha ha ha ha...nikijiangalia maisha
Yamesimama...lol..mabinti wanaopenda kushindana na wanaume imekula kwenu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…