Alinipenda sana ila amebadilika

marko maluli

Senior Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
164
Reaction score
49
Nilikuwa katika mahusiano na msichana wa kidato cha kwanza hapo mimi nilikuwa kidato cha pili katika shule hihyo but alinipenda sana na mahusiano yetu yalijulikana shule nzima lakini nimewahi kumfanyia mambo mengi ambayo sio mazuri lakini alivumilia.

Nilipo fika kidato cha nne ilitokea zali moja kubwa sana nilimpa ujauzito na akaachishwa shule, huku mimi nilikuwa bado naendelea na masomo ilipo fika wakati wa kujifungua binti huyo mimi ndio nilikuwa naingia
kwenye chumba cha mtihani but alijifungua salama lakini kwa bahati mbaya mtoto ulimkuta umauti.

Nilifanikiwa kumaliza mitihani yangu na kujiunga chuo huku yeye bado nawasiliana nae lakini kumbe alikuwa na jamaa mwingine baada ya mimi kurudi chuo niliona mabadiliko na alikuwa anaujauzito tumboni, alizaa tena mtoto akafa na huyo mwanaume mwingine.

Niliamua kumuambia ukweli kwamba aendelee na jamaa yake kwani sipendi ugomvi kati yangu na huyo mwanaume cha kushangaza hivi juzi kanitafuta na namba ngeni na kuniambia mimi ni mpenzi wake lakini ataendelea kuwa na yule jamaa wake lakini mimi nilikataa.

Naombeni ushauri
 

Sahihisha kwanza ulicho andika, andika yako ni Shida...vinginevyo utatuchefuwa
 
Anyone got a dictionary on gobbledygook please??sasa weye mutu kwanza chuo gani ulienda kwa shule ya form four?
Kama umeshakataa unataka ushauri wa nini tena wakati maamuzi ushafanya?
 
Mtafute Diamond Platnum barafu ya moyo ya warembo...!
 
Capt Nemo

Ananisumbuaa san ndo maana nimeomb ushauribt that iz typing error....diploma ndonilienda kusoma
kwan kidato cha nne nlipiga poa nikaamua nicpite kidati cha tano na sita
 
Last edited by a moderator:
Kwanza inaonekana nyie ni wale mnaosumbua wazazi. Husomi umekalia mapenzi shuleni mwish wa siku unafeli shule hovyohovyo.

Hakuna chuo cha kumaliza form four isipokuwa vile vya utalii na hotel managementi maana waliofeli kama wewe ndo wanaenda huko.

Ulichokiandika kinasadifu akili zako. Kazana kusoma achana na mapenzi hiyo certificate unatakiwa upate GPA nzur ili uweze kuendelea diploma la sivyo utaishia kuwa sharobaro kama ulivyo saiv.
 
ananisumbuaa san ndo maana nimeomb ushauri



bt that iz typing error....diploma ndonilienda kusoma
kwan kidato cha nne nlipiga poa nikaamua nicpite kidati cha
tano na sita

Poa dogo..akiendelea kukusumbua mwambie utanshirikisha bwanake huyo mwingine ili ajue jinsi ya kumhandle demu wake...wewe achana nae asikushawishi kivyovyote
 
najua huwez amin na huto amin kama mim nimepiga diploma ya udaktari
 
Kwa uandishi huu nina hofu hata kidato cha nne bado hujafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…