Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,996 Sep 20, 2016 #41 alivyokukataa wakati ana mtu inamaanisha ni mwaminifu na ana msimamo hivyo anafaa kuwa mke. akili nyingine inapinga kufanywa reserve. Attachments upload_2016-9-20_21-4-38.jpeg 6.3 KB · Views: 29
alivyokukataa wakati ana mtu inamaanisha ni mwaminifu na ana msimamo hivyo anafaa kuwa mke. akili nyingine inapinga kufanywa reserve.
moto wa maji JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 4,174 Reaction score 3,006 Sep 21, 2016 #42 HUU UZI UTAKAKOENDA KUISHIA NA KULETA UZI MWINGINE NI KAMA WIMBO WA HUSEIN MACHOZI YANI KAFIA GETO
Z ZEE LA HEKIMA JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,422 Reaction score 1,849 Sep 21, 2016 #43 Huyo hafai kabisa ! Wapo wengine we-e-ngi! Kama alikuacha hujui hiyo miaka minne alikuwa na wengine wangapi
Huyo hafai kabisa ! Wapo wengine we-e-ngi! Kama alikuacha hujui hiyo miaka minne alikuwa na wengine wangapi
Loeli JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 997 Reaction score 763 Sep 21, 2016 #44 Kama alikuwa ana upendo na wewe angekukubali awali hata kama alikuwa na MTU angemwacha aje kwako. Huko mambo magumu anakuja kwako. Nikwambie haukuwa hata plan D kwake. Achana naye kabisa. Sijui ni kwa nini unapoteza nguvu kuuliza hapa.
Kama alikuwa ana upendo na wewe angekukubali awali hata kama alikuwa na MTU angemwacha aje kwako. Huko mambo magumu anakuja kwako. Nikwambie haukuwa hata plan D kwake. Achana naye kabisa. Sijui ni kwa nini unapoteza nguvu kuuliza hapa.