Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

hapa hakuna ukweli jamaa katunga tu wajanja tunajua peleka vijiweni story zako zakitoto upuuz huu.
 
Mimi kuna boya mmoja alinisaliti kwenye ishu nyeti hatari akafurahi kwa muda. Aisee niliumia sana nikaamua kumlia timing nikaja kumpoka demu wake! Pumbavu zake alilia kama mtoto
 
Safari moja huanzisha nyingine.

Safar ya kisasi haina dead end.

Subiri mapigo yake akijua mbaya wake
Kweli kabisa. Mambo haya ni ya kusamehe tu. Hapo ni mwendo wa visasi hadi ktk vizazi vyao[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Figisu figisu zipi hizo?
 
wateenden mema wanaowaudhi.
roho inakuuma kwa ulilolifanya si jema sema umekuja kutafuta ujasir wa comment za wenye akil kama zako ujifariji. JIANDAE KWA HUKUMU MUNGU ATAKAYOKUPA.
 
nimepata nguvu ya ajabu ya kusonga mbele, we ulitaka nimuangalie akijagamba na kunufaika baada ya kunitapeli na kuniweka juani?? hakuna kitu kama hiko dunia ya sasa. ukija.mba wenzio wanaharisha!!
Waddau wanataka kujua umemuharibia kwa style gani wacha kuleta POROJO na MBOYOYO mingi.
 
hujamuharibia mkuu,umemrudisha alipostahili kuwepo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…