Alinidanganya, nimuweke katika fungu gani?

Mkupa94

Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
24
Reaction score
2
Alinidanganya eti kuwa aliingiliana na mwanaume kama dawa ili apone akapata ujazto, ukweli ni kwamba huyo boy alkuwa jamaawake kwa zaidi ya miaka 6.
 
hizo dawa wanazitoa sana waganga wa siku hizi.
anaambiwa ili dawa ifanye kazi inabidi ipakwe kwenye uume aafu aingize keini

hii huwapata wanaotafuta watoto na limbwata.
ukiona safari za mkeo kwa waganga jua unalea watoto wa mganga
 
Mwambie una majini ambao hawataki watu waliotibiwa na dawa za kuingiziwa.
 
Miaka 21
Uandishi kama umemaliza la saba jana
 
Kama ni kweli alidanganywa na mganga kirahisi namna hiyo basi hafai.
 
Nawewe si uwe dk wake ili apone. mpe hongera kwakufuata ushauri wa dk.
 
Kumbe ukweli unaujua, alikuwa jamaa yake kwa zaidi ya miaka 6, si mchezo walishibana sana, na bado kaenda kubeba na mimba yake! ndugu yangu bado upo tu unasubiri nini sasa?? siwezi jua lakini nyuma ya pazia kuna nini?? ni wewe mwenyewe fanya maamuzi huko huko, maana mazingira halisi wewe ndio unayajua? Pia nikupe pole sana kwa maumivu.

Usimuweke ktk fungu moja labda mafungu kama matatu hivi:- si muaminifu, muongo, hakupendi.
 
hizo dawa wanazitoa sana waganga wa siku hizi.
anaambiwa ili dawa ifanye kazi inabidi ipakwe kwenye uume aafu aingize keini

hii huwapata wanaotafuta watoto na limbwata.
ukiona safari za mkeo kwa waganga jua unalea watoto wa mganga

Kama ni hivyo, mbona prof long water atakuwa na watoto nchi nzima, hadi nchi za jirani! Balaa hii.
 
hizo dawa wanazitoa sana waganga wa siku hizi.
anaambiwa ili dawa ifanye kazi inabidi ipakwe kwenye uume aafu aingize keini

hii huwapata wanaotafuta watoto na limbwata.
ukiona safari za mkeo kwa waganga jua unalea watoto wa mganga

ahaaaaaa mwingine aliambiwa na mganga ili alale na mwanamme ambae hajawai kulala nae na ambae wameonana kwa mara ya kwanza ahaaaaaaa kumbe mganga alimaanisha yeye mwenyewe. Mganga kala mzigo
 
Kumbe ukweli unaujua, alikuwa jamaa yake kwa zaidi ya miaka 6, si mchezo walishibana sana, na bado kaenda kubeba na mimba yake! ndugu yangu bado upo tu unasubiri nini sasa?? siwezi jua lakini nyuma ya pazia kuna nini?? ni wewe mwenyewe fanya maamuzi huko huko, maana mazingira halisi wewe ndio unayajua? Pia nikupe pole sana kwa maumivu.

Usimuweke ktk fungu moja labda mafungu kama matatu hivi:- si muaminifu, muongo, hakupendi.

Nashukur xana ndg kwa mawazo yako,watu wanadhan kila kinachoandikwa humu n xtor mengne n maisha ya watu jaman!
 
hizo dawa wanazitoa sana waganga wa siku hizi.
anaambiwa ili dawa ifanye kazi inabidi ipakwe kwenye uume aafu aingize keini

hii huwapata wanaotafuta watoto na limbwata.
ukiona safari za mkeo kwa waganga jua unalea watoto wa mganga

Badae alikr kuwa sio kwel alinidanganya wala huyo alitembea nae hakuwa mganga.
 
Back
Top Bottom