Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Kama ana pesa, nitampokea kwa bashasha....
:A S wink::A S wink: vijisenti
Miaka 31! alikuwa kafungwa?
Kuhusu hela huyo mama kazifukia noti zilipokuwa zinabadilishwa naye alikuwa anazibadili?
Hadithi njoo... Utam koleaaaa....
Ndio tujifunze vijana wa sasa huyo bibi anajua nini maana ya ndoa mke mmoja mume mmoja kifo kiwatenganishe. kwanza alikuwa anamkumbuka mpaka kumpa pesa za kujenga nyumba? Pia huyo bibi bado aliweka heshima ya mume siwezi kujenga mpaka mumu wangu awepo, mume alipoludi hakukuta nyumba kwa hasil nadhani ndio akaondoka kaenda kutafakali ukooooooooooo mwisho wa siku karudi. MIMI NIMEPENDA HIYO WA DADA TUJIFUNZE UVUMILIVU.
ina maana huyo mwanamke alikuwa hasikii hamu?
Hizo hela tu mi ndio zimeniuma...
Kama ana pesa, nitampokea kwa bashasha....
Aaaaaa, ukuye basi ule raha huku mutoto muzuriiii. Mapesa najaa kwangu kama mulima kilimanjaro.