JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Jul 10, 2013 #21 Preta said: Nimemuona hapa A to Z Kisongo.......anapima net...... Click to expand... ahhahahah acha kutuumiza mbavu... labda atakuwa serengeti anajimegea vitalu vya wanyama naona vya dhahabu kashatosheka Mzima lakini sister? niko Arachuga
Preta said: Nimemuona hapa A to Z Kisongo.......anapima net...... Click to expand... ahhahahah acha kutuumiza mbavu... labda atakuwa serengeti anajimegea vitalu vya wanyama naona vya dhahabu kashatosheka Mzima lakini sister? niko Arachuga
Ilu JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,199 Reaction score 1,651 Jul 10, 2013 #22 Yupo Kigambinino
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Jul 10, 2013 #24 juve2012 said: Jpili atakuwa na mahojiano Clouds fm kipindi cha jahazi kuelezea maisha yake alivyosumbuana na Osama.au hujasikia tangazo? Click to expand... hahaaa atakaemhoji atakuwa kibonde!!!!! maana yule jamaa nasikia ung'eng'e ni mtihani kwake!!!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
juve2012 said: Jpili atakuwa na mahojiano Clouds fm kipindi cha jahazi kuelezea maisha yake alivyosumbuana na Osama.au hujasikia tangazo? Click to expand... hahaaa atakaemhoji atakuwa kibonde!!!!! maana yule jamaa nasikia ung'eng'e ni mtihani kwake!!!!!!
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Jul 11, 2013 Thread starter #25 UTANI MWINGI MBELE GIZA, tukishapewa mafungu ndo tunasema yuko hapa na pale, tukiibiwa ahaaaa hatukujua.
UTANI MWINGI MBELE GIZA, tukishapewa mafungu ndo tunasema yuko hapa na pale, tukiibiwa ahaaaa hatukujua.