Poa mkuubado Hawajatoa link mkuu
Unakulupuka nakuandika2 nenda zakoUnalelewa Na vanesa?
Acha umbea na wwMe Nadhani hawa akina babu tale kuna mchezo wanaucheza sio bure
Tatizo huwa mnahisi nyimbo inavyopokelewa bongo ni sawa na nchi zote za africaMe Nadhani hawa akina babu tale kuna mchezo wanaucheza sio bure
kwahiyo mkuu ndio kusema no 1 diamond 2 diamond 3 pia yeye?Tatizo huwa mnahisi nyimbo inavyopokelewa bongo ni sawa na nchi zote za africa
Nyimbo zako zinaweza zikawa zinapigwa trace, mtv na sound city lakini usitoboe nigeria,
Wanaigeria wana kasumba sana ni diamond alipata bahati kukubalika huko.
Nenda hata youtube kasome comments kwenye nyimbo utaona kwa diamond kuna watu wengi wa mataifa mbalimali na kwa alikiba utaona karibia wote ni wabongo na wakenya
No mkuu alikiba anauwezo wa kuwa kama diamond , cha kwanza lazima afanye collabo na wasanii wa naija na south africa hii ndio njia kubwa ya kutoboa, mfano aje huku east africa hasa bongo na kenya ni hit song lakini bado haina ukubwa west africa na south africaKwaiyo
kwahiyo mkuu ndio kusema no 1 diamond 2 diamond 3 pia yeye?
mi nadhani kwangu mie ishafikia niamini tanzania kuna diamond mmoja peke yake.