Barcelona763
Member
- Mar 9, 2018
- 26
- 21
Nimeitoaumeweka poll ya nini kama mshindi wako ushamtaja ??
Ambassador wa Mofaya (Ommy dimpoz) anaumwa ugonjwa nisioweza kuuweka wazi hapandio maana Mofaya bado haijatoka.Jamaa yenu ndio tunamsahau tena, mlishazoea kubebwa kila siku nyie coming soon na sasa kishatoa boko, alafu watu wamemchunia kimya pamoja na promo yake ya masaa 18 lkn bado kutoa boko, mwenzake yule kule. Jamaa mziki na enzi zake zishaanza, sasa hivi amebaki kama parasite na ndio maana kwa kulijua mnajitahidi kumlinganisha lkn hawalingani wala kufanana hata kidogo. Alafu nimesahau hizo mofaya zimeishia wapi? Huku kwenye drink industry hayupo mondi mshazoea kubebwa (huko bila kuwekeza ela za promo, kuwa na plan na kupata watu wanajua fitina atazinywa mwenyewe na familia yake biashara si lele mama) . Kuhusu collabo hajakatazwa kufanya na kama hujui number 1 original ilichukua tuzo 3 channel 0. Alafu kwa nn mnapenda kumlinganisha jamaa yenu na mondi, au mshajua jamaa wenu ni dhaifu anahitaji mtu strong kama mondi ili ambebe na safari hii mondi kachuna na view YouTube zikabuma na ikiwezekana jamaa awachunie hivyo hivyo, kila mtu apambane na hali yake.
Kishafeli huyo, we Dr dree ashindwe kuingiza headphone zake sokoni, kisa kendrick lamar anaumwa huoni sababu ya kipuuzi, yy anadai ndiye mmiliki wa mofaya, sasa mofaya na ugonjwa wa ommy unahusiana nini, kwa hiyo ommy akifa mofaya nayo inakufa.Biashara sio lele mama, biashara ni vita na lazima uwe na plan na watu wa kupambana mpaka bidhaa isimame, angalia mo energy, azam energy, kung fu, monster hivi vinywaji vina timu ya watu zaidi ya 30 wakuipush ktk market kuanzia brand manager, marketing manager nk, yy kishazoea kubebwa na mondi huko mondi hayupo.Ambassador wa Mofaya (Ommy dimpoz) anaumwa ugonjwa nisioweza kuuweka wazi hapandio maana Mofaya bado haijatoka.
-Alikiba On Shilawadu
Tena Mviringo kabisaMleta mada ni 'kiadhi'.....
Mobetto?Angekuwepo hapo alipo
Yes a I amMobetto?