Alikiba awakutanisha mahasimu

mgesela

Member
Jan 22, 2016
37
9
Jana ktk uzinduzi wa ngoma yake Lupela walikuwepo Mwanafa, Jide na Gadna sasa sijui walisalimiana au laa, lakini kwenye picha it shows Jide hakufurahi maana hakutabasamu kama wengine na binamu nae kaangalia chini labda kidogo Gadna hajaonesha hisia tofauti.

Mliokuwepo tell us moreee.
 
Inamaana tangu party inaanza mpaka inaisha Mwana FA alikuwa anaangalia chini tu? Hiyo kali.
 
Huwezi kujudge kutokana na hizo picha..Wangekuwa wamepiga picha ya pamoja hapo sawa
 
Yeah..Nje ya kazi pia walikuwa marafiki..Fa akaamua kuzingua

FA alizingua kwa sababu ya kufata nini mabosi zake wanataka, baada ya FA muziki kuwa haumlipi vizuri aliside na Ruge na akapewa cheo THT (kitu kama mkurugenzi au nini sikumbuki).

Sasa kwenye bifu ya Jide na Clouds ikawa inabidi Clouds amtumie FA huyo huyo kupambana na Jide, kama unakumbuka Jide alitangaza tar ya show halafu kina FA nao wakatangaza tarehe hiyo hiyo kufanya show, then iliahirishwa sababu ya Msiba wa Ngwair na baadae tena wakaweka tarehe sawa.

Anti-Virus za Sugu na Vinega wamewahi kumchana FA kwa usnitch.

All in all, njaa ndo zinasababisha yote haya.
 
Yeah..Haikuwa THT..Wakina Ruge walianzisha TFU(Tanzanian flavour unit)..Fa ndo akapewa uongozi wa TFU..Zen wakataka kukisajili basata kama chama cha wasanii..Ila basata ikawakatalia na kuwaambia tayari kuna chama cha wasanii (TUMA)..So hawawezi kukisajili hicho..Kama msanii anataka basi ajiunge na TUMA

Wale jamaa wakafanya ujanja ujanja wakakisajili hivyohivyo kama kampuni..Ugomvi wa Fa na Sugu ndo ukaja hapo..Ndo mana wakamchana
 
Asante sana kwa info, mi nilijuaga ni THT.

Ndo maana hata nilikuwa sielewi elewi kama ni mkurugenzi ama nini.

Thanks mkuu.
 
Ndo hivyo mkuu..Utakumbuka hata kipinde kile Raisi alivyoitoa ile studio aliwakabidhi TFU..Baadhi ya watu ndo wakawa wanahoji kwann wakabidhiwe TFU na sio TUMA..Mana TUMA ndo chama cha wasanii kilichokuwa kinatambulika
 
Back
Top Bottom