Kateni Rufaa, ili wayaangalie na ama kusahihisha upya mitihani yake.Ndugu wana JF,
Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .
Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.
Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?
Mkuu naona uleta utani wewe...Kwa PCM nadhani somo rahisi ambalo wala hausomi kwa presha na kukariri kwingi ni "pysics". Yaani ukijua "assumptions" raha sana.
Muda wa rufaa C umeisha ahKateni Rufaa, ili wayaangalie na ama kusahihisha upya mitihani yake.
Kisheria hakuna muda unaoisha kwenye haki. kama ni haki yake, wasilianane na wanasheria kwa ushauri zaidi.Muda wa rufaa C umeisha ah
WApi hiyo Kisima, Ifunda? tanga? Mtwara MOshi au?Mkuu naona uleta utani wewe...
Physics ni zaidi ya assumptions.
Pure Maths ndo nyepesi zaidi kwenye hiyo combination ikifuatiwa na chemistry.
Mimi nilisoma pcm nikitokea technical school ambako ndo kwa wababe wa physics(Engineering Science) na o'level nilipata ufaulu wa 100% make sikuona swali la kukosa kwenye ile paper ya necta!
Advance physics imesimama dede tuache ubishi.
Physics na ADv. Math nilikuwa naviona kama vile vina weight inayofanana, issue ilikuwa kulw kwenye ma-organic na non organic Chemistry. Acha kabisaBasi kila mtu anauelewa wake. Fizikia ilikuwa mteremko ila hesabu (advance maths) nilitumia nguvu kubwa sana na hata sitaki kuisikia!
NAmkumbuka Teacher wa Chemistry wa Adv alikuw anaitwa Galileo. Yeye mwenyewe yaani kuna wakati alikuwa mzima, kuna wakti alikuwa mteja wa Mirembe. Achana kabisa na habari ya ChemistryHapo ndiyo kwenye shida. Mwalimu alipokuwa akielezea mfano kubadili compound fulani kwenda fulani akifanya yeye unaona rahisi.
Kuna siku nilimuuliza mwalimu kwanini pakiwa na compound hii/group hii unaweka kitu hiki. Alinijibu "wewe elewa hivyo tu". Watu walimeza!
Binafsi niliipenda sana PGMNdugu wana JF,
Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .
Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.
Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?
Mazengo Tech mkuu!WApi hiyo Kisima, Ifunda? tanga? Mtwara MOshi au?
mkemia mkuu atakuja kuwatumbua mpaka huko binafsi, HANA VIGEZO AKASOME H-KUNANI.. HAPA KAZI TU.Kama anaipenda sana PCM, Nafasi bado ipo....Shule za Binafsi(Private) zipo, anaweza kwenda kusoma huko....Very Possible.