Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
yani kazi kweliNahili pia mnataka kushauriwa, hv mtaweza kubuni vitu vipya kwel nyie
Ivi ushajiuliza kwanini ma TO wanatoka PCM tu na sio hkl au cbg et al..???Ila sio lazima kulazimisha PCM, kama anataka kusifiwa kuwa anasoma PCM shauri yake! Physics bado ni mziki kule Advance...Topic kibao.....
Chem na Math atleast ziko pouwa..
Ivi ushajiuliza kwanini ma TO wanatoka PCM tu na sio hkl au cbg et al..???
Mpeleke CBG mkuu, hatojuta ikifaulu
Hiyo CBM wanatoa shule za private au hata gvt?Hivi sasa kuna CBM...
Hiyo nimeiona privates,Hiyo CBM wanatoa shule za private au hata gvt?
Ni kweli brother dogo aende tu diploma maana anasema aliweka sana nguvu zote kwenye PCM coz anapenda mathematics kuliko vitu vyote dunianiSio lazima kila mtu asome A level kabla ya university. Akajaribu diploma ya ufundi fani anayopenda ajitahidi kufanya vizuri then ataingia university kusoma zaidi hiyo fani. A level sio mzaha. Kwa performance hii sishauri achukue advance Physics itakuwa balaa. Ila kuchukua CBG ni badiliko kubwa sana la ndoto yake pia ni tatizo. Labda kama ataridhia kutoka ndani ya moyo wake. Yeye ndio anajua zaidi nini kitamfaa sisi tunasaidia kushauri tu. Ni maisha yake.