Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Katika pita pita zangu nikakutana na www.alihaz.com nikaona afadhari huyu jamaa ametumia kiswahili zaidi kuanzisha hii website lakini hawa jumia, na wengineo wanadhani Tz wote wanapenda kimombo! nadhani wabadilike kabisa namtabilia alihaz onlie suppermaket kwenda mbali zaidi