Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,306
Chuo gani hasa ?Mkate soda...vyakula vya wanafunzi wa vyuo wakimaliza boom
Mkuu mim week la pili tu lilikua halinikuti na pesa,,,nakumbuka kipindi hicho sunsirro inabamba nilikua nalichomea pale sanaChuo gani hasa ?
Mim binafsi sjawahi kuishiwa boom tangu naanza first year had namaliza.
Pole sanaMkuu mim week la pili tu lilikua halinikuti na pesa,,,nakumbuka kipindi hicho sunsirro inabamba nilikua nalichomea pale sana
Wewe lazma ulikuwa muumini mkubwa wa rbPole sana
Mim ma boom yang yalikuwa yanakutana.