Aliegongwa na gari na kufa hapo hapo na kuzikwa apiga simu kwa mkewe

Mnaacha kutulete stori za namna ya kuingia strongroom ya benki kuu kwa ungo na kutoka na kitita cha heshima , mnatuletea hadithi za mikingamo!
 
kwanza wewe si handsome,muongo.

na hii story yako imejaa ukakasi.
 
 
Haya mauza uza yapo mkuu.Yupo jamaa aliyetumbukizwa mto Kilombero miezi michache iliyopita kawatokea ndugu zake Mwanza.
 
Hiyo migari siipendi hata,nikisikia sauti ya hiyo migari nakaa mbali mita 60,

Juzi wamemgonga mtoto kichwa kimepasuka kama bomu,na wakigonga hawasimami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…