Aliegongwa na gari na kufa hapo hapo na kuzikwa apiga simu kwa mkewe

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
647
704
Dah dunia hiyi inamambo
Ni majila ya asubuhi ya tarehe 5/9/2021 natoka zangu hotelini naelekea bus stand kwaajili ya kukata tiketi kuelekea sehemu

Nikiwa njiani nimesimama kungoja bodaboda mara lori linatoka spidi
Kwa mbele yangu namuona mzee mmoja akiwa na pikiki akiwa barabarani nyuma yake ikiwa ile lori ya makaa ya mawe
.ghafla nashuhudia ajali mbaya ya lori kugonga kwa nyuma ile pikipik na yule mzee kutupwa kwa mbele

Hatimae lori inapanda mwili wa yule mzee na kumkanyaga asee sijawah shuhudia kichwa cha binadam kulia midhir ya bom

Nikabaki nimeduwaa na dereva wa roli kutokomea

Punde watu wakajaa na kupiga simu polisi polis wakaja na kuzoa viungo maana si mwili tena hautamaniki

Ikabidi nisitishe zoez la kusafili ili kushiriki kama mtanzania
Bas baada ya siku mbili zikaandaliwa ratiba za kuusafirisha mwili

Na kwenda kupumzishwa kwenye nyumba ya milele

Hatimae akazikwa

Sasa nilichoshangaa jana nimepigiwa simu na ndugu yangu kuwa jamaa uliemshuhudia kugongwa na gari

Kampigia simu mkewake na kumwambia awaambie majiran yeye yuko hai na hajaumia popote kwahiyo akija wasishangae

Kiukweli sikuamini nikajua ndugu yangu ananitania nikapiga simu kwa jamaa zangu wa karibu na nyumb ile ya marehem ndio wakanihadithia vizur

hapa ndio wanamngoja huyo mZee kesho anawasili nitaleta mrejesho hiyi imetokea songea ila huyo jamaa ni mtu wa njombe ni mkinga mke wake mbena
Najiuliza tu inawezekana vipi

Mrejesho upo comment namba 64
 
Najiuliza tu inawezekana vipi?
Chai za kuubembeleza mwezi uishe haraka
 
Yawezekana huyo mzee aliazimisha pikipiki kwa mtu mwingine na aliegongwa mpaka kufa wala sio yeye.

Nadhani kutokana na jinsi ulivyoelezea ajali hiyo labda watu/ndugu walishindwa kuitambua maiti na ku conclude kuwa ni ya mzee huyo kutokana labda na pikipiki ambayo huwa anaendesha.

Jaribuni kufikiri nje ya box msiwaze tu uchawi na wanga mda wote.
 
Back
Top Bottom