ila mda si umeshaisha au wameongezewaa ?
Muulize dogo kama jina lake lili appear kwenye list ya multiple selection ya tcu kwenye hii fourth round, kama jina lake halipo means hawamtambui uwepo wake udsm..
kama yupo inabid afanye utaratibu waku confirm chuo kimojaa kama mda bado una ruhusu
dogo kabla haja unconfirm pande yeyote awe makini sana, kama tcu hawafahamu uwepo wako chuoni huna tofauti na mtu aliekosa chuo hata kama chuo kilikuchagua ukizingatia mda umeshaishaa..