Aliconfirm Tumain Dar awamu hii kachukuliwa UDSM NA anapenda UDSM AFANYEJE?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Habari za siku wana Jf nina ndugu yangu aliconfirm Makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika la kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara huko mbeleni?

Kwa wenye uelewa msaidien dogo
 
Kama yupo karibu na chuo husika anaweza kwenda kuwapa taalifa wamtoe katika systen yao
Ni virahisi sana

Nina ushuhuda kuna jamaa angu ali confirm chuo asichopenda alienda ku unconfirm kule alipochagualiwa na kwenda chuo husika kupata addmision alifanikiwa
 
Hapo afike makumira au apige simu admission office wamtoe kwenye mfumo ili aende kwa amani udsm.
Ila ilikuaje aka komfirm huko wakati anapenda udsm? Mkuu mwanakijiji lugusi au utakua umemshawishi abadili maamuzi.. Na je kwenye kozi mmezingatia asije akafuata mkumbo huko udsm
 
awe makin aisee mdogo angu alichakugiliwa mocu full admission na pia akachaguliwa cbe..alitaka ku unconfirm mocu ili aende cbe..

chaajabu majina ya multiple selection yalipotolewa na tcu alikuwa hayupo...akabidi awapigie simu cbe..cbe wakamjibu kama alishapewa full admission mocu na tcu hawakumuweka kwenye majina ya multiple selection basi hawez pokelewa tena cbe..

so dogo awe makini asije akafanya mavyongo akakosa kotekote.
 
ila mda si umeshaisha au wameongezewaa ?

Muulize dogo kama jina lake lili appear kwenye list ya multiple selection ya tcu kwenye hii fourth round, kama jina lake halipo means hawamtambui uwepo wake udsm..

kama yupo inabid afanye utaratibu waku confirm chuo kimojaa kama mda bado una ruhusu

dogo kabla haja unconfirm pande yeyote awe makini sana, kama tcu hawafahamu uwepo wako chuoni huna tofauti na mtu aliekosa chuo hata kama chuo kilikuchagua ukizingatia mda umeshaishaa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom