Kama alishoot video kwa zaidi ya siku 3 mpaka 4 Basi huyo ana akili timamu, na anaweza kujisimamia vyovyote vile katika shughuli yoyote ile.
Mtu anakaa uchi wa mnyama Tena bila haya mbele za wachukua video na mbele ya umati wa wahaririri Kisha hiyo video iwekwe mitandaoni akiwa na dhumuni kuwa Africa Mashariki yote na dunia kwa ujumla waone maungo yake,Leo hii
Anataka huruma gani Sasa?
Kwamba ahurumiwe ili kesho acheze video za ngono kabisa ili mleta huu Uzi ufurahie kuiona mbunye yake Kama ulivyoiona mbunye ya Ambar Rutty?
Tufikie mahala tukanye hizi tabia za kishenzi za Hawa madada wasanii.
Na kukanya kwenyewe ni Kama hivi walivyomfanya.
Na kwa upande wangu hiyo adhabu ni haba, watu Kama Hawa adhabu yao ni mwaka mzima na faini juu.
Shwaini kabisa.