Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,646
- 6,398
Mkuu sio kila siku tuwape lawama tuu mazuri nayo tunasemaahahahah mkuu nilidhani wifi yetu keshaharibu...lol
Siku nyingine akikukera msamehe, tumia furaha ya leo kujenga imani katika ndoa yako, sio kumuandalia magunia mawili ya mkaa!Asalaam,
Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.
Mchaga tulia usije ukaotamkuuu wekaa pichaa kwanza...
Daah hiyo kitu wala sijawahi fikiria kwa kweliUkigongewa naomba pia uje anzisha thread
Umenena vyema nduguSiku nyingine akikukera msamehe, tumia furaha ya leo kujenga imani katika ndoa yako, sio kumuandalia magunia mawili ya mkaa!
Ah ah nayo yanakujaga hivyohivyo kisapraiz kaka ..msalimie shemeji lakinDaah hiyo kitu wala sijawahi fikiria kwa kweli
Sema tu ukweli umenunuliwa chupi yenye zipu.Asalaam,
Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.
HahahahaMzee inaonekana ndoa yako haina mashamsham kabisa umewekewa boksa tu unapagawa hivyo? ulikuwa hujawahi kupewa zawadi yoyote?
Hata mimi nilijua nitakuta maharibifu afadhali Leo mwenzetu amesifiwahahahah mkuu nilidhani wifi yetu keshaharibu...lol