Agent-47 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 781 Reaction score 2,794 Oct 31, 2025 #1 “Ninaiona hatari kubwa sana mbele yetu”-Capt. Tesha Watu walimbeza na kumtukana, haijazidi mwezi hatari hii hapa. Your browser is not able to display this video.
“Ninaiona hatari kubwa sana mbele yetu”-Capt. Tesha Watu walimbeza na kumtukana, haijazidi mwezi hatari hii hapa. Your browser is not able to display this video.
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 3,637 Reaction score 4,733 Oct 31, 2025 #2 Shida CCM ni wapuuzi sana
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,557 Reaction score 14,835 Oct 31, 2025 #3 Huyu sasa ni kiongozi! kaweka maisha yake kwenye maslahi mapana ya nchi
R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 4,453 Reaction score 5,708 Oct 31, 2025 #4 Agent-47 said: “Ninaiona hatari kubwa sana mbele yetu”-Capt. Tesha Watu walimbeza na kumtukana, haijazidi mwezi hatari hii hapa. View attachment 3496299 Click to expand... Tesha, Humphrey Polepole, Gwajima na Agustino Polepole. watu walikuwa wapo kila uzi na wanafungua nyuzi za kumtukana, kumkejeli, kumbeza, kuwabeza Watanzania wote waliowaunga mkono pamoja. Tanzania nyumbu na wasaliti ni wengi sana.
Agent-47 said: “Ninaiona hatari kubwa sana mbele yetu”-Capt. Tesha Watu walimbeza na kumtukana, haijazidi mwezi hatari hii hapa. View attachment 3496299 Click to expand... Tesha, Humphrey Polepole, Gwajima na Agustino Polepole. watu walikuwa wapo kila uzi na wanafungua nyuzi za kumtukana, kumkejeli, kumbeza, kuwabeza Watanzania wote waliowaunga mkono pamoja. Tanzania nyumbu na wasaliti ni wengi sana.