Alichokifanya Manchester City Jana

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
269
153
Hivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela ndefu yeyote atupie screen shot ya mkeka aliokula wa hela nyingi
 
Mkuu kama uliangalia mech vizut utagundua kuwa man city walizidiwa sanaa, mpaka de bruney alivoingia mech kidogo mashambulizi yaliongezeka
 
Kama kuna siku kampuni za kubeti zilipata fedha ni jana. Chelsea na mwenzake Man City walichofanya acha tu!
 
Mbona zinapata kila siku maana hujiulizi kuna kampuni ukibeti 10000 wanakupa 50000 bonus it means wana uhakika na kazi yao
 
Back
Top Bottom