Umejiongeza sana aisee, ila kama ushajua anapatikana THT, kwa nini usiende hapo, na wanafanyia mazoezi hapo daily.
Panda mwendo kasi ili uwahi kufika, ushukie Biafra ama Moroco ya kinondoni. Labda kama THT walihama pale.
Changamka, yaweza kuwa ndiyo wewe unasubiriwa pia. KILA LA KHERI.
Ahsante!