Nani amewahi ku watch Alice in wonderland? Quote ya character gani unaipenda sana kwa hiyo movie? Mimi napenda kuna sehemu mad hatter anamwambia alice You used to be much more muchier you've lost your much ness ππ Wewe Ni quote gani unaipenda?
Halafu kuna sehemu mad hatter anamwambia alice have I gone mad? Alice anamjibu im afraid so you're entirely bonkers but i will tell you a secret. All the best people are βΊοΈ
Mimi nilisoma kitabu chake 1983 nikiwa darasa la 3, baadae ukubwani nikaja kuambiwa kimejaa codes na symbols za Illuminati na kaka yake Freemason, sinema yake nimewahi kuiona mara moja ila siikumbuki vizuri!