Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,958
Ni ulemavu unaotokana na mabadiliko ya vinasaba (DNA code) ambapo baadhi ya code au nitrogenous bases zinaundoshwa na kuwekwa zingine hii kwa ulibinism husababishwa na vichocheo kushidwa kusapot kutengenezwa kwa pigment ya melanini ambayo huipatia ngozi rangi yake halisi.
Sickle cell anaemia pia ni tatizo la baadhi ya cell nyekundu za damu kuwa na muundo nusu au halves ambayo ambapo husababishwa na mabadiliko ya kimpangio wa gene code( taarifa za kiurithi zinazohifadhiwa ndani ya chromosome), muundu huo unasababisha seli nyekundu za damu kushindwa kusafiri vizuri ndani ya mishipa ya damu lakini pia zinakuwa zinasafirishi oxygen kidogo sana .
Kutokana na mwendo hafifu wa seli hizo husababisha kulundikana kwenye njia hivyo husababisha damu kuanza kuganda .
mwisho wa siku itasababisha moyo kushindwa kufanya kazi (heart blockage).
Sickle cell anaemia hurithiwa kutoka vizazi na vizazi fatilia historia za mababu kwenye ukoo wenu na mkeo ilikuelewa mapema mambo hayo.
Hili tatizo linatokia utomati kwenye mpangilio wa gene wala wa kila kitu ni mipango ya Mungu mnamkosea sana Mungu.