Ali Salehe BBC Zanzibar nae amenunuliwa?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Baada ya uchuguzi wa 2000. Ali Salehe mtangazaji wa Bbc Zanzibar alikuwa ni mmoja ya watangazaji waliokuwa wakifichua mengi zenj kwa ujasiri mkubwa mpaka kuitwa jina Superman . lakn tangua achaguliwe kuwa mjumbe wa BMZ(BARAZA LA MICHEZO ZANZIBAR ) sasa humsiki hata ukimsikia habari zake kutokea zanzibar ni habari za vijiweni(wauza kahawa), halua na wauza nyanya , urojo na kachori na sio tena zile habari tunzozijua, iansemekana CCM 2010 ameahidiwa ulaji zaidi zanzibar baada ya kuona cuf hawashindi uchaguzi. jee kweli?
 
Last edited by a moderator:
Songa mbele ndugu, kununuliwa kulikuwepo, kupo na kutakuwepo. Hivyo angalia mbele unatakiwa kufanya nini, kununuliwa kama kweli kwa Ali Saleh "Alberto" hakurudishi nyuma harakati.
 
"Aberto" ni mtu wa harakati nyingi jamani, he is very social person who is priceless hasa kwa system hii. Labda tumualike hapa sikumoja aje aseme mwenyewe.
 
"Aberto" ni mtu wa harakati nyingi jamani, he is very social person who is priceless hasa kwa system hii. Labda tumualike hapa sikumoja aje aseme mwenyewe.
With all respect. Ana mapungufu yake lakini he is a good guy and a "professional"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom