Ali Larijani hajauawa ni nzima

Ali Larijani hajauawa ni nzima

Status
Not open for further replies.

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,397

Iranian state media reports death of security chief​

Iranian state media has reported that the country's security chief Ali Larijani has been killed.

Israel announced earlier today that he was killed in an overnight strike

Iran initially appeared to deny the report by posting a handwritten note it claimed was written by Larijani on his social media account minutes later.

The note paid tribute to Iranian sailors killed in a US submarine attack on its Dena warship on 4 March.

This is the first confirmation from Iran of Larijani's death, and it comes after it also confirmed the killing of Basij commander Gholamreza Soleimani
=============

Tuwe makini na habari tunazopost si vyema kueneza fake news au kutegemea Mainstream media za magharibi

Jitahidini kubalance story kwa kutafuta vyanzo vingi, binafsi mpaka nilete habari hapa JF ujuwe nishaiverify na nina uhakika nayo hii habari bado Iran wenyewe hawajaverify

Kama habari nina mashaka nayo huwa naandika kabisa kuwa ni tetesi na unconfirmed

Jamii check muwe mnapita na humu jukwaa la kimataifa na sio tu mnabase kwenye majukwaa mengine

UPDATE:Vyombo vya habari vya Iran na serikali wamecomfirm kuwa Ali Larijani ameuliwa!!
 
Ni ngumu kumeza lakini Iran Islamic regime inaanguka muda si mrefu.
 
irani wenyewe wameshathibitisha kuuliwa kwake ...

1773784754463.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom