Em tufafanulie na mwanamuziki kama nature na ray c maana kwa mimi hawa ni watu nliokuwa nawakubali na bado nawakubali mpaka sasa,kwakwel nliuzunika sana walivyopotea hawa watu ivi niulize hawa watu wakirudi upya ivi patatosha kweli na ni nini kimewafifisha hivi majembe hawa ingawa si hawa tuu wako na wengine wengi