baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Matola wanakuita huku
Kiukweli kilichotokea fiesta ni haibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema diamond hana jipya,ili linaukweli ndani yake?kitoronto kimetawala kila kona.sasa ktk ya kiba na diamond ni nani?hana jipya,mdogo wangu kiba jua mziki nikama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.kwahiyo wewe hutakuwa wakwanza kushuka katika mziki.Nikukumbushe walikuokuwepo ktk peak na sasa wameshuka Mr Nice,Tid,mr blue,dudubaya,richard matumla,juma kaseja,maneno osward,j nature,inspector haroun na wengine wengi tu.wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina,na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho,kingewasaidia baadae.mimi na amini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda.sababu hakuzaliwa na mziki.
Ali Kiba ananguvu ya Biskuti ikiloa na maji tu imemong'onyoka.
Kiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake?
Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana jipya?
Mdogo wangu Kiba jua muziki ni kama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.Kwahiyo wewe hutakuwa wa kwanza kushuka katika mziki.
Nikukumbushe waliokuwepo katika peak na sasa wameshuka mfano Mr.Nice,Tid,mr.Blue,Dudubaya,Richard Matumla,Juma Kaseja,Maneno Osward,Juma Nature,Inspector Haroun na wengine wengi tu.
Wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho kingewasaidia baadae.
Mimi naamini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda sababu hakuzaliwa na muziki.
samahani nieleweshe kidogo ni aibu kwa kiba au kwa dimond aliezomewa mbele ya swahiba wake davidoKiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake?
Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana jipya?
Mdogo wangu Kiba jua muziki ni kama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.Kwahiyo wewe hutakuwa wa kwanza kushuka katika mziki.
Nikukumbushe waliokuwepo katika peak na sasa wameshuka mfano Mr.Nice,Tid,mr.Blue,Dudubaya,Richard Matumla,Juma Kaseja,Maneno Osward,Juma Nature,Inspector Haroun na wengine wengi tu.
Wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho kingewasaidia baadae.
Mimi naamini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda sababu hakuzaliwa na muziki.
Akili zako mbovu kama mada yako.