ndo maana me nowadays sibishani nao coz najua ni unafiki tu umewajaa sio ushabiki, ila huyu jamaa fundi sana sio kwa electro hii dah! "mng'aro wa nuru yako kama mbalamwezi"
ndo maana me nowadays sibishani nao coz najua ni unafiki tu umewajaa sio ushabiki, ila huyu jamaa fundi sana sio kwa electro hii dah! "mng'aro wa nuru yako kama mbalamwezi"
Kakake juzi nimefanyiwa surprise ya hii ngoma nilihisi kudata!
Bae kani-video call kisha kaniwekea hii ngoma...halafu ananiangalia tu!
Uwiiiii Lupela ni shiiidah!
Wapendwa wetu huku wamepotea baada ya mods kutuharibia uzi,kama haitoshi wameamua kuutoa celebrities na kuupeleka entertainment.
Wenye roho nyepesi wamekimbia,WAFIA KIBA tunakomaa tu maana hamna namna.