Kama siamini amini hivi?
I miss you (nadhani na wenzangu pia maana wamekuwa wakiniuliza sana eg
atoto Diva Beyonce na
Ms.Lincoln)
Namiss uchambuzi wako,hasa kwenye kibao na hadi video ya nagharamia.
Lupela....nasikia tu na nina hamu ya kuusikia,natumai King hatotuangusha.